Paul Biya ashinda urais Tena akiwa na umri wa miaka 92
Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92 ameshinda kura ya uraisi kwa muhula wa nane uliokumbwa na utata.i.Paul Biya, ambaye ni mkuu wa nchi...
Israel Yazidisha Mashambulia Ya Anga Iran!
Israel imeanzisha mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya Iran usiku wa kuamkia leo. Vituo vilivyolengwa ni vya kiwango cha juu, vikiwemo:Kambi ya kijeshi ya BasijMakao...
Lucia Witbooi Ateuliwa Kuwa Makamu wa Rais Katika Baraza la Mawaziri Nchini Namibia
Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah amemteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa Rais katika Baraza la Mawaziri lililopunguzwa. Nandi-Ndaitwah, ambaye aliapishwa Ijumaa baada ya chama...
MAREKANI : MSALABA WA PEPPERDINE AUKUGUSWA NA MOTO
Msalaba maarufu ulioko kwenye kilima katika Chuo Kikuu cha Pepperdine, Malibu, California, ulibaki bila kuguswa kabisa baada ya moto wa Franklin uliotokea Desemba 11, 2024....
Merchan anaamuru Trump kuhudhuria hukumu mnamo Januari 10
Jaji Juan Merchan wa Mahakama kuu ya New York, ameamuru Rais mteule wa Marekani Donald Trump ahukumiwe kabla ya kuapishwa, katika kesi ya kughushi rekodi....
Sherehe mjini Damascus huku wapinzani wa Syria wakitangaza kumalizika kwa utawala wa Bashar al-Assad.
Aliyekuwa Rais wa Syria, Bashar al-Assad ameng'olewa madarakani usiku wa kuamkia leo Jumapili, Desemba 8, 2024, baada ya waasi kuingia katika mji wa Damascus. Taarifa...