Hazeeki Huyu Mengi. Miss Tanzania 2000
Katika picha ni Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, licha ya kutwaa taji hilo miaka 24 iliyopita bado anavutia. Utakumbuka pia aliwahi kufanya muziki akifahamika...
MENA: UKIKOSA PESA HUWEZI KUWA NA MIMI
Baby mama wa mchekeshaji/mchungaji mahili hapa nchini Mc Pilipili ameonyesha kukasilishwa vilivyo na wanaume wasiokuwa na pesa na kudai endapo mwanaume akafilisika mikononi mwake hawezi...
Kariakoo ya Maua Sama Yaondolewa Youtube
Wimbo mpya wa Maua Sama uitwao 'Kariakoo', aliouachia hivi karibuni kwa kushirikiana na Ibraah_tz, Jaivah, na GnakoWaraWara, umekumbwa na changamoto baada ya kuondolewa kwenye mtandao...
Mwigizaji Tesa wa Huba Afariki Dunia.
Bongo movies imepoteza moja ya waigizaji wa mfano aliyekuwa kioo cha jamii kimaadili kwa vitendo kuanzia uvaaji, mahusiano na watu. Grace Mapunda hakuwa mtu wa...
Mrembo Vera Sidika Aonesha Sura yake Mpya Baada ya Sajari
Mrimbwende maarufu katika masuala ya urembo nchini Kenya, Vera Sidika ameonyesha sura yake mpya baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Uingereza. Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali...
MSANII CMB PREZZO KAOKOKA KUJIUNGA NA GOSPEL MUSIQ
Rapa CMB Prezzo amechonga njia mpya ya kuacha muziki wa kilimwengu na kuanza kuimba mzingi wa injili. Rapa huyo mkongwe aliweka maisha yake hadharani kwa...