Koffi Olomide Scheduled To Perform In Nairobi On December 9
Celebrated Selfie hitmaker Koffi Olomide alias Le Grand Mopao Mokonzi is scheduled to perform in Nairobi on December 9, marking his return to the Kenyan stage after...
DIAMOND : SABABU ZA KUTOMILIKI PRIVATE JET.
Boss wa Wasafi, Diamond Platinumz amefunguka kutapeliwa zaidi ya Billion Nne.Kupitia mahojiano yake na wanahabari. Diamond amesema kwamba mipango yake ilivurugika baada ya kutapeliwa. “Mimi...
Familia Yaomba Muziki Wa Ali B Kuacha Kuchezwa Baada Ya Kifo Chake.
Baada ya familia kutoa ilani kwa vyombo vya habari,madjs na yeyote yule kucheza ngoma za mwendazake Ally B ambaye aliweza kustiriwa jana 2 Novemba,hisia mseto...
Ally B’s Body Laid To Rest As family Requested His Music To Stop Being Played After His Death
The body of veteran coast-born singer Ali Khamisi Mwaliguli alias Ally B was finally laid to rest in Mombasa on Thursday, November 2. The late...
DIAMOND : SABABU ZA KUTOMILIKI PRIVATE JET.
Boss wa Wasafi, Diamond Platinumz amefunguka kutapeliwa zaidi ya Billion Nne.Kupitia mahojiano yake na wanahabari. Diamond amesema kwamba mipango yake ilivurugika baada ya kutapeliwa. “Mimi nilikuwa nimenunua [ndege] kubwa ya kwangu ila wakaniletea ujanja wakaniingiza mjini kidogo wakanipiga kama bilioni 4 na kitu. Polisi wanafahamu na inaendelea kufuatiliwa na serikali wananisaidia kuona haki yangu naipata…