UDA Yatinga Kwa Kishindo Katika Uchaguzi mdogo Narok, Elgeyo Marakwet na Samburu
Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimeibuka na ushindi mkubwa katika chaguzi mbalimbali za ubunge na uwakilishi wa wadi zilizofanyika katika kaunti za Narok, Elgeyo...