Muungano wa Wamiliki wa Matatu Wasitisha Mgomo Uliopangwa
Chama cha Wamiliki wa Matatu (MOA) Jumapili kilitangaza kuwa kimesitisha mgomo wake uliopangwa kuanza Jumatatu, Agosti 26. Brendan Marshall afisa katika Chama hicho, alisema kuwa...
Wakenya Watakiwa Kuepuka Nyama ya Kichakani Juu ya Ugonjwa Wa Mpox
Huku maafisa wa afya wakihaha kudhibiti mlipuko wa hivi majuzi wa Mpox nchini Kenya, serikali imetoa onyo kali dhidi ya utunzaji na ulaji wa nyama...
Reprieve for Kawira Mwangaza as court stops Senate resolution to uphold impeachment
The High Court’s decision to suspend the Senate’s verdict to impeach Governor Kawira Mwangaza has handed the embattled county boss a lifeline. The case by...
HANA MWANGA TENA! MWANGAZA WA GAVANA MWANGAZA WAZIMIA
Hatimaye kitumbua cha gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza kimeingia mchanga baada ya bunge la seneta kuhidhinisha madai ya kaunti ya kumtimua ofisini. Haya...
Israel yajibu mashambulizi bandari ya Yemen baada ya waasi wa Houthi kushambulia Tel Aviv
Baada ya waasi wa Houthis kushambulia ndani ya Israel kwa makombora, Israel ilijibu uchokozi huo kwa shambulio moja kubwa na baya lililoangamiza kabisa bandari hiyo...
Israel yashambulia bandari ya Yemen baada ya waasi wa Houthi kushambulia Tel Aviv
Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kwamba shambulio la Israel katika bandari muhimu ya Hodeida nchini Yemen litapelekea hali mbaya ya...