Rayvany Kaweka Album Ya Harmonize #VisitBongo Badala Ya Yakutoa Nyimbo Zake 5 Kama Alivyoahidi

Share this story

Rayvany alikuwa ameahidi kutoa nyimbo zake 5 siku ya jana ila hakufanya hivyo.

Alichokifanya ni kueka Instastory Album ya Harmonize #visitbongo badala yake kutoa nyimbo hizo.

Rayvany akusema chochote kuhusiana na nyimbo zake hizo.

Baadhi ya mashabiki walimfuata Instagram kwenye comment kumuitwa muongo kwa kuwadanganya.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Daraja La Mbogolo, Barabara Kuu Ya Mombasa Malindi Lasombwa Na Mafuriko.
Next post Mchezaji wa Argentina Di Maria kujiuzulu kucheza kimataifa baada ya Copa America