PICHA: OPERESHENI MALIZA UHALIFU : WAZIRI APEPERUSHA VIFAA VYA KUKABILIANA NA VITA BONDE LA UFA

Share this story

Waziri wa Usalama wa Ndani Kindiki na katibu mkuu Ray Omollo leo wameagiza na kutuma kundi la kwanza la vifaa ili kuwapa nguvu maafisa wanaowaangamiza majambazi katika eneo la bonde la ufa na maeneo mengine yaliyoathiriwa na ujambazi na wizi wa mifugo.

Magari ya Kivita hayo yatatumiwa na maafisa wanaohusika na Operesheni Maliza Uhalifu Kaskazini mwa Bonde la Ufa.

Waziri alisema kuwa Serikali ya Kenya Kwanza ya Rais William Ruto na DP Rigathi Gachagua imedhamiria na inasalia kulenga kukandamiza kabisa ugaidi, ujambazi, wizi wa mifugo na vitendo vingine vya uhalifu.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Kamishna wa kaunti ya Lamu Louis Ronoh amefariki
Next post Bukayo Saka Withdraw From England Squad As Precaution