Hon. Danson Mwashako commissioned a 500 capacity domitory and a three Classroom block at Dr.Agrey highschool that were funded jointly by NG-CDF, Parents.
Wundanyi area mp Hon. Danson Mwashako commissioned a 500 capacity domitory and a three Classroom block at Dr.Agrey highschool that were funded jointly by NG-CDF,...
DCI Arrest Jeremiah Mwavuganga Samuel for publishing fake information on facebook account
DCI arrest a male teacher who authored a Facebook post using a fake account purporting to be that of the Teachers Service Commission & alleging...
DP Ruto Awasili katika hafla ya Mudavadi Bomas
Naibu Rais William Ruto amewasili katika hafla ya kiongozi wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi iliyofanyika Bomas of Kenya katika eneo la Lang'ata Nairobi....
Moi, Jimi Wanjigi na Kalonzo watoka kwa mkutano wa wajumbe wa chama cha ANC
Mfanyibiashara Jimi Wanjigi, Seneta Gideon Moi, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka walionekana wakitoka nje ya chumba cha mkutano kwa nguvu. Washirika wa Ruto pia walionekana...
Raila atishia kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais
Kiongozi wa Orange Democratic Movement (ODM), anayewania kiti cha uraisi kupitia muungano wa umoja, Raila Odinga, amewaeleza wafuasi wake kuwa huenda akaachana na azma yake...
Wimbo wa Otile Brown aliomshirikisha Harmonize “Woman” waingia rekodi ya nyimbo zilizotazamwa zaidi nchini Kenya chini ya masaa 48
Wimbo wa mwanamziki wa Kenya Otile Brown aliomshirikisha Harmoize wa Tanzania utazamwa mara milioni 1 ndani ya saa 48 pekee kwa akaunti ya youtube.Nyota huyo...