MRATIBU WA BONDE LA UFA GEORGE NATEMBEYA AJIUZULU
Mratibu wa bonde la ufa George Natembeya ajiuzulu. Natembeya atakuwa afisa wa kwanza wa umma kujiuzulu.
Baada ya kufanya kazi kwa ofisi ya serikali kwa miaka 25, Natembeya anataka kuwania kiti cha ugavana cha Transzoia