MR BEAST NA ELON MUSK WASHINDWA KUIZUWIYA TIKTOK ISI FUNGIWE UKO MCHINI MAREKANI
Matajiri hao wa wili wali jaribu kadri ya uwezo waho mtandao wa TikTok usi fungwe mchini umo ila chamshangao zaidi leo hiii TikTok ime fungwa mchini marekani
Watu wana subiri neno la mwisho kutoka kwa Donald Trump siku yaku apishwa kwake mnamo tariki 20/1/2025 ata apishwa na ata ingiya ndani ya ikulu siku iyo na ata towa neno la mwisho kuusu TikTok siku hiyo