Watu Saba Wafariki Baada ya Ndege Kuanguka Samburu East
Watu saba, akiwemo rubani, wamefariki dunia baada ya ndege ndogo kuanguka katika eneo la Sabache Hills, Samburu East. Kwa mujibu wa taarifa za polisi, ndege...
Omar Artan Aweka Historia, Aitwa na UEFA kwa Mafunzo ya Waamuzi
Mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Artan Abdulkadir, amepewa nafasi ya kipekee baada ya UEFA kumwalika kushiriki kozi maalum ya mafunzo kwa waamuzi wa kiume...