Man United Kama Kawaida Yao, Wamepigwa Chelsea Shangwe, Arsenal Draw
Mashetani Wekundu wamepigika tena huku kocha , Eric Ten Hag akiendelea kukalia ‘kuti kavu’ wakati Chelsea ikiitandika Newcastle United 2-1 katika dimba la Stamford Bridge.
FT: West Ham United 2-1 Man United
⚽ 74’ Summerville
⚽ 90+2’ Bowen (P)
⚽ 81’ Casemiro
FT: Chelsea 2-1 Newcastle United
⚽ 18’ Jackson
⚽ 47’ Palmer
⚽ 32’ isak
FT: Crystal Palace 1-0 Tottenham
⚽ 31’ Mateta
Arsenal 2-2 Liverpool
⚽Bukayo Saka9′
⚽Mikel Merino43′
⚽Virgil van Dijk18′
⚽Mohamed Salah81′