Harmonize amfanya Kajala kuwa CEO na Meneja Wa KondeGang
Msanii Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefanya marekebisho kwa uongozi wa lebo yake ya muziki ya konde music worldwide ili kumwezesha mpenzi wake Frida Kajala Masanja kushika nafasi ya juu zaidi.