Raila Ichongoa Serikali Kuhusu Malipo Ya Vitambulisho
Kiongozi wa Azimio Raila Odinga ameikashifu serikali kwa kuwataka Wakenya kulipa ili kupata vitambulisho vya Kitaifa au kulipia hata zaidi ikiwa utapoteza kitambulisho. Raila alisema...
Viongozi Wa Pwani Wafanya Kikao Kujadili Umoja Wa Wapwani
Viongozi wa kisiasa kutoka kaunti sita za Pwani kutoka pande zote za mgawanyiko wa kisiasa leo umekusanyika ili kujadili mustakabali na ustawi wa watu wa...
Viongozi Wa Pwani Wafanya Kikao Kujadili Umoja Wa Wapwani
Viongozi wa kisiasa kutoka kaunti sita za Pwani kutoka pande zote za mgawanyiko wa kisiasa leo umekusanyika ili kujadili mustakabali na ustawi wa watu wa...
Gavana Nassir ataka Mombasa Kusimama Nyuma ya Raila Kabla Ya Uchaguzi 2027
Gavana Abdulswamad Sherrif Nassir Jumatatu aliwaongoza viongozi wa Mombasa na wanachama wa ODM kutangaza kumuunga mkono Raila Odinga kama mgombea urais kwa Uchaguzi Mkuu wa...
PICHA : Gavana Nassir, Pamoja na Gavana Mwadime, Wakutana na Wajumbe Kutoka Taita/Taveta Wanaoishi Mombasa
Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, Pamoja na Gavana wa Taita Taveta, H. E Andrew Mwadime, Wakutana na Wajumbe Kutoka Jamii ya Taita/Taveta Wanaoishi Mombasa
ZIPAPA TENA: Chirau Ali Mwakwere Achaguliwa kuwa Msemaji wa Jamii ya Digo
Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Chirau Ali Mwakwere sasa ndiye msemaji wa Jamii ya Digo. Mwakwere alichaguliwa katika wadhifa huo na jamii...