META YAPUNGUZA WAFANYAKAZI 11,000 BAADA YA HASARA
Kampuni ya META inayomiliki Facebook, Instagram na WhatsApp imepunguza nguvu kazi yake kwa asilimia 13. Meta ilisema ilikuwa inapunguza zaidi ya 11,000, au karibu asilimia...
Mahakama yaamuru marubani kurejea kazini Jumatano
Mahakama Jumanne iliamuru warubani waliogoma wa shirika la ndege la KQ kurejea kazini siku ya Jumatano huku mazungumzo kati ya chama chao na Kenya Airways...
Ndege ya Precision Air ATR 42-500 imepata ajali katika Ziwa Victoria Bukoba, Kagera
Ndege ya Precision Air ATR 42-500 imepata ajali katika Ziwa Victoria Bukoba, Kagera asubuhi hii ambapo Mashuhuda wanasema ajali hii imetokana na Ndege hiyo kupata...
UGANDA: ZAIDI YA WABUNGE 100 NA MAWAZIRI KUFUNDISHWA KISWAHILI KILA JUMATATU
Viongozi wote nchini Uganda lazima wawe na uwezo wa kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahili, wabunge wamedai. Wabunge katika kamati ya Mashauri ya Kigeni inayoongozwa na...
Mwatate-Afueni Kwa Wazazi Wa Shule Ya Kenyatta
Ni afueni kwa wazazi na wanafunzi wa shule ya upili ya Kenyatta baada ya Mbunge wa eneo hilo Mhe. Peter Shake alipowakabidhi magodoro na Mashuka...
Mwadime Afanya Mkutano Na Washikadau Kuhusu Uchimbaji Wa Madini
Gavana wa TaitaTaveta, Mh. Andrew Mwadime amefanya mazungumzo na Shirika la Ushirikiano na Uratibu la Uturuki(TIKA), Oxfam nchini Kenya na maafisa wa Muungano wa Wanawake...