Kamanda mkuu wa Hezbollah auawa katika shambulizi la Israel huko Beirut
BEIRUT: KUNDI la Hezbollah la Lebanon limethibitisha kuuawa kwa wanachama wake 16 wakiwemo kiongozi mwandamzi Ibrahim Aqil na kamanda mwingine Ahmed Wahbi katika shambulio la...
David Beckham : Sababu Za Kumchagua Messi Badaya Ya Cristiano
"Ilikuwa inawezekana kumsajili Cristiano Ronaldo na kumpa nguvu kama ambayo Lionel Messi anayo huku Marekani, Lakini nilimchagua Lionel Messi kwa sababu ni moja ya wachezaji...
IVAN JURIC KURITHI MIKOBA YA DE ROSSI AS ROMA
Kocha wa zamani wa klabu ya Torino Ivan Jurić yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa klabu ya AS Roma juu ya kurithi mikoba ya mkongwe...
De Rossi apigwa kalamu na AS Roma
AS Roma imempiga kalamu kocha wao Daniele De Rossi baada ya matokeo mabaya kwa mechi nne za mwanzo wa msimu wa 2024/25 katika Ligi ya...
Makachero wanasa heroini, dawa zingine katika operesheni Pwani
Polisi wamenasa aina kadhaa za dawa za kulevya katika operesheni huko Pwani.Kulingana na taarifa ya Kurugenzi ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, dawa za kulevya...
Wakili Bwire Super Cup Yarejea Rasmi.
Mbunge wa Taveta Wakili Bwire ametangaza kurejea kwa Wakili Bwire Super cup. Kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook mbunge huyo ametangaza kurejea kwa mashindano hayo...