B Classic Apoteza Umiliki Wa YouTube Channel Kwa Management
Msanii Dennis Manja, jina la stage B Classic kwa mara nyingine tena amepoteza umiliki wa YouTube channel yake, ikichukuliwa na management. Msanii huyo kwa mara...
Kamanda mkuu wa Hezbollah auawa katika shambulizi la Israel huko Beirut
BEIRUT: KUNDI la Hezbollah la Lebanon limethibitisha kuuawa kwa wanachama wake 16 wakiwemo kiongozi mwandamzi Ibrahim Aqil na kamanda mwingine Ahmed Wahbi katika shambulio la...
Makachero wanasa heroini, dawa zingine katika operesheni Pwani
Polisi wamenasa aina kadhaa za dawa za kulevya katika operesheni huko Pwani.Kulingana na taarifa ya Kurugenzi ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, dawa za kulevya...
Urusi : Rais Wa Urusi, Vladimir Putin Amuunga Mkono Kamala Harris’
Urusi inamuunga mkono Kamala Harris': Historia ya Putin ya 'maidhinisho ya uchaguzi wa Marekani Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema baada ya Rais wa sasa...
Huduma Day : Wajumbe Wa Serikali Wafanya Kongamano La Vijana TaitaTaveta
Naibu Waziri Shadrack Mwadime na wajumbe kutoka Serikali za Kitaifa na Kaunti walifanya Kongamano la Vijana la Taita Taveta 2024 katika Kaunti Ndogo ya Taveta.Mkutano...
HANA MWANGA TENA! MWANGAZA WA GAVANA MWANGAZA WAZIMIA
Hatimaye kitumbua cha gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza kimeingia mchanga baada ya bunge la seneta kuhidhinisha madai ya kaunti ya kumtimua ofisini. Haya...