Guinea yaomboleza mashabiki 56 waliokufa katika vurumai za penalti, kadi nyekundu
PENALTI tata na kadi mbili nyekundu zilizotolewa na refa zilisababisha vifo 56 kufuatia vurumai zilizozuka wakati wa mechi kati ya Labe na wenyeji Nzerekore, nchini...
Mh. Isaac Matolo Ashinda Tuzo La MCA Bora TaitaTaveta
M.C.A wa kata ya Jipe Isaac Matolo achukua tuzo la MCA bora kaunti ya Taita Taveta. Katika Tuzo hilo la Starleaders Award lilimjumuisha MCA huyo...
EACC imewakamata maafisa 4 Taita Taveta
Ofisi ya mwongoza mashtaka ya DPP ameidhinisha mashtaka ya ufisadi dhidi ya maafisa wanne wa Kaunti ya Taita Taveta akiwemo mshauri wa masuala ya kiuchumi...
Raila Odinga Atetea Mikataba Ya Mabilioni Ya ADANI
Kiongozi wa Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga amezungumzia mkataba tata wa JKIA-Adani, akisema kwamba mapendekezo ya kukodisha uwanja wa ndege wenye shughuli nyingi zaidi...
Mwangala Atawazwa Mwenyekiti Wa Baraza La Wachonyi
Raphael Mwangala atawazwa mwenyekiti wa baraza la wazee la Wachonyi katika sherehe iliyohudhuriwa na Gavana Mung'aro na Naibu wake Flora Mbetsa Chibule.
Makachero wanasa heroini, dawa zingine katika operesheni Pwani
Polisi wamenasa aina kadhaa za dawa za kulevya katika operesheni huko Pwani.Kulingana na taarifa ya Kurugenzi ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, dawa za kulevya...