Wales Yafuzu kucheza kombe la dunia kwa mara ya pili katika historia yao baada ya kuifunga Ukraine.
Team ya Wales Yafuzu kucheza kombe la dunia kwa mara ya pili katika historia yao baada ya kuilaza Ukrane bao 1-0. Bao la kujifunga la...
Kylian Mbappe Ahakikishia Mashabiki Atasalia PSG.
Mchezaji wa PSG Kylian Mbappe amehakikishia mashabiki wake hasa wa klabu ya PSG kwamba atabakia kwa timu hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23...