Harry Maguire: Beki wa Manchester United avuliwa unahodha wa klabu
Beki wa Manchester United Harry Maguire ambaye amekuwa nahodha wa timu hiyo kwa Zaidi ya miaka mitatu amedhibitisha kupokonywa kitambaa cha unahodha katika mabadiliko mapya...
Viwango vya UEFA Ligi 8 bora Duniani 2022-23
Ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1 imetolewa kwenye ligi bora 5 barani ulaya. UEFA wametoa viwango vipya vya ligi bora barani Ulaya. Viwango hivyo vimepatikana...
Kijana wa miaka 9 Mkenya Aymen Onyango anajiunga na wababe wa EPL Manchester City
Aliekuwa Mchezaji wa Kimataifa wa Raga wa Kenya, Lucas Onyango, amekuwa Baba mwenye furaha baada ya Mtoto wake Aymen Onyango kusajiliwa na Klabu ya Manchester...
KITENGE ARUDI WASAFI AKIWA NA GERALD HANDO.
Diamond hataki mchezo kwani kapambana kuhakikisha Mtangazaji nguli wa vipindi vya michezo Tanzania Maulid Kitenge anarejea Wasafi Media akitokea EFM ambapo safari hii amerejea akiwa...
?????? ?? ??????? ?????????. ?? ???!.. ???!.. ????????? ?????????, ??????????? ?????????. ?????? ?? ?? ?? ???????.
Kufikia sasa timu ya chelsea imepokea mapigo mengi zaidi kwa ligi kuu kushinda michezo waliyo shinda. Wameweza kupoteza michezo 3 ikifuatana kufikia sasa. 1-0 dhidi...
CROATIA YAILAZA MOROCCO MABAO 2-1 NA KUINGIA TIMU 3 BORA ZA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2022
#Croatia imefanikiwa kushika nafasi ya tatu kwa kushinda dhidi ya #Morocco magoli 2-1 Mchezo pekee uliosalia ni wa Fainali, wa timu ya #Argentina dhidi ya...