Ndege ya Precision Air ATR 42-500 imepata ajali katika Ziwa Victoria Bukoba, Kagera
Ndege ya Precision Air ATR 42-500 imepata ajali katika Ziwa Victoria Bukoba, Kagera asubuhi hii ambapo Mashuhuda wanasema ajali hii imetokana na Ndege hiyo kupata hitilafu wakati ikitua
Ndege hiyo ilikuwa ikitoka Dar es Salaam kuelekea Bukoba
Ripoti zinasema ajali hiyo ilisababishwa na hali mbaya ya hewa; juhudi za uokoaji wa abiria 49 waliokuwa ndani ya ndege zikiendelea.