Sheria Mpya Nne zitakazotumika kombe la Dunia

Share this story

1. Mchezaji akifanyiwa mabadiliko anatakiwa atumie Sekunde 10 tu awe tayari ametoka Njee akizidisha hata sekunde 1 itamalzimu Mchezaji anayeiingia Kusubiri Njee angalau dakika 1 ndio ataingia.
2. Ikiwa Mchezaji kaumia na anaitaji matibabu atatakiwa kutolewa Uwanjani kwa dakika 1 akizidisha timu yake ikapewa adhabu.
3. Ikiwa Mwamuzi ataona muda unapoteza kwenye mpira wa kona au mpira wa kurusha kwa zaidi ya Sekunde 5 Mwamuzi ataamua Timu Pinzani kupewa Faida ya kutumia Nafasi hiyo.
4. VAR Itatumika kuangalia kadi ya Njano ya Pili na Mpira wa Kona


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Iran yathibitisha kifo cha kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei
Next post Mahakama Kuu yaamuru serikali kumlipa aliyekuwa Mbunge Basil Criticos Ksh.30M kwa ukiukaji wa haki za kumiliki mali