Hazeeki Huyu Mengi. Miss Tanzania 2000
Katika picha ni Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, licha ya kutwaa taji hilo miaka 24 iliyopita bado anavutia.
Utakumbuka pia aliwahi kufanya muziki akifahamika kama K-Lyyn na kutamba na nyimbo kama Nalia Kwa Furaha, Crazy Over You, Chochote Utapata n.k.