Mwangala Atawazwa Mwenyekiti Wa Baraza La Wachonyi
Raphael Mwangala atawazwa mwenyekiti wa baraza la wazee la Wachonyi katika sherehe iliyohudhuriwa na Gavana Mung’aro na Naibu wake Flora Mbetsa Chibule.