Wakenya Waandamana Kupinga Mswada wa Fedha wa 2024
Maelfu ya wakenya mnamo siku ya Alhamisi, Juni 20 waliendelea kukusanyika kufanya maadamano ya amani dhidi ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024....
Wakazi wa Mombasa waandamana kupinga Mswada wa Fedha 2024
Machafuko na mapigano yalitanda katika mitaa ya Mombasa siku ya Jumatano huku wakazi wakiandamana barabarani kupinga Mswada wa Fedha wa 2024.Waandamanaji hao walikabiliana na maafisa...
Serikali Yatii Wito Wa Wananchi
Hatimaye serikali imesikiliza kilio cha wakenya wengi kuhusu mswada wa ushuru baada ya Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Fedha kutangaza msururu wa mabadiliko ya...
Gavana wa Mombasa Nassir Aunga Mkono Marekebisho ya Mswada wa Fedha wa 2024
Gavana Abdulswamad Nassir ameelezea kuunga mkono marekebisho yaliyopendekezwa na Kamati ya Idara ya Fedha na Mipango ya Kitaifa kwa vifungu vyenye utata vya Mswada wa...
Reiss Nelson Ataka Uhamisho Msimu Wa Joto Kutoka Arsenal
Reiss Nelson ameifahamisha Arsenal kwamba anataka kutathmini chaguzi zinazowezekana za uhamisho msimu huu wa joto. Arsenal ilikataa mbinu za Januari na wangetafuta karibu pauni milioni...
Chelsea wamefungua mazungumzo RASMI juu ya kumsajili mshambuliaji wa Crystal Palace Michael Olise
Michael Olise Ni miongoni mwa walengwa wakuu wa Chelsea na kulingana na ripoti ya David Orstein leo mchana Chelsea iliomba ruhusa ya kuzungumza na wawakilishi...