SCALLY MUSIQ FT MLOLE CLASSIC : HATUKAI SANA BONGE LA NGIMA “PULIZA” IWAKE
Haya ndio maneno msanii Mlole Classic aliyoandika kupitia ukurasa wake wa facebook akiashiria kufanya kazi na Msanii Scally Music kwa Wimbo "Puliza" "HATUKAI SANA BONGE...
MH. BWIRE : Twiga Foods Wanaleta Ushindani Kwa Wakulima Wadogo Taveta
Mbunge wa Taveta Wakili John Bwire siku ya Jumatano, tarehe 19 Oct, aliweza kufanya mkutano wa ushirikiano na Twiga Foods, KWS, AFC, Serikali ya Kaunti,...
Kizaazaa Mahakama ya Malindi baada ya mwanaume wa umri wa miaka 68 kulilia kucheleweshwa kwa haki
Kizaazaa kiliweza kushuhudiwa katika mahakama ya Malindi siku leo tare 19 Oct, baada ya mwanamume anayekabiliwa na mashtaka ya ulaghai alipoanza kupiga kelele kwa madai...
MCA Wa Mahoo Daniel Kimuyu Afanya Sherehe Ya Shukrani
Mwakilishi wa kata ya Mahoo MCA Daniel kimuyu afanya sherehe ya shukrani kwa wapiga kura wa eneo hilo. Sherehe hiyo ilifanyika eneo la Lessesia Taveta....
?????? ???? ?????? ???????????? ?????????? ????? ?? ???????? ?????
Mbunge wa Sirisia John Waluke leo alijisalimisha katika mahakama ya Milimani baada ya jaji wa maakama kuu Esther Maina kudumisha kifungo chake cha miaka 67...
Safaricom Yazindua Tawi Addis Ababa, Ethiopia
Safaricom leo, Oktoba 6, imezindua mtandao wake wa Ethiopia unaoanza kufanya kazi katika miji 11. Katika hafla iliyohudhuriwa na Rais William Ruto mjini Addis Ababa,...