From the spot to the spotlight! Allan Okello named Man of the Match!
Chuma kinaitwa Allan Okello (25) kiufupi anajua sana mpira, sifa zake ni winga wa kulia asilia ambae anatumia zaidi mguu wa kushoto kuingia ndani. Ni ngumu sana ku-deal nae haswa ukiwa ni beki wa pembeni.
Msimu uliopita kwenye ligi ya Uganda alitwaa tuzo ya MVP bila kusahau alitwaa kiatu cha mfungaji bora.
Jamaa ni ana kimo kidogo ila anajua ball🔥
