Dangote Atangaza Kiwanda Kipya cha Kusafisha Mafuta Kujengwa Kenya Badala ya Tanzania
Bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote, ametangaza rasmi kuwa kiwanda chake kipya cha kusafisha mafuta barani Afrika kitajengwa nchini Kenya badala ya Tanzania. Uamuzi huo unatajwa...