Winga Bukayo Saka ameongeza mkataba wa miaka mitano kuendelea kubakia Arsenal hadi June mwaka 2031
Bukayo Saka amekubali kuongeza mkataba wa miaka mitano kuendelea kubakia Arsenal hadi June mwaka 2031.
Bukayo Saka sasa atalipwa mshahara wa €300000 kwa wiki
