Za Diddy Zafika, Miezi 50 Jela kwa kosa la ukahaba
Mwanamuziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs amehukumiwa kifungo cha miezi 50 jela (takribani miaka 4) pamoja na faini ya Dola 500,000 kwa kosa la usafirishaji...
AFRICA KUSINI : Matumaini ya Kufuzu Kombe la Dunia yafifia baada ya FIFA kuinyang’anya alama 3 na kuizawadi Lesotho
Matumaini ya Afrika Kusini kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 yamepata pigo kubwa baada ya shirikisho la soka duniani, FIFA, kuiondolea alama timu...
Mjumbe Wa Bandari FC Amjibu Ali Kamwe
Beki wa zamani wa Harambee Stars na mjumbe wa sasa wa bodi ya Bandari FC Ricky Solomon ametoa jibu kwa matamshi ya Ali Kamwe. Akizungumza...
Mbosso amuhenzi mwalimu wa shule ya msingi aliyeubadilisha wimbo wake wa ‘Pawa’
MSANII Mbwana Yusuf Kilungi, maarufu Mbosso, amemshangaza mwalimu wa shule ya msingi baada ya kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 388 hadi Tanga Hills, ambako...
DOGO JANJA ATUHUMIWA KUMPIGA MWANAFUNZI RISASI .
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema linafanya uchunguzi wa tukio la Bakari Halifa Daud (18), mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kujeruhiwa kwa risasi mguuni na...
Malkia Strikers Waondolewa katika Ubingwa wa Dunia wa Volleyball baada ya kushindwa na Poland
Malkia Strikers wameondolewa kwenye Mashindano ya Dunia ya Volleyball ya Wanawake kufuatia kichapo cha 3-1 kutoka kwa Poland nchini Thailand Jumatatu hii, Agosti 25, 2025.Kenya...