Paul Biya ashinda urais Tena akiwa na umri wa miaka 92
Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92 ameshinda kura ya uraisi kwa muhula wa nane uliokumbwa na utata.i.Paul Biya, ambaye ni mkuu wa nchi...
Niffer amehamasisha Vurugu na kuharibu miundombinu- Polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumkamata na linamhoji Jenifer Bilikwiza Jovin almaarufu Niffer leo tarehe Oktoba 27, 2025 majira ya...
Kenya Police FC wameripoti Al Hilal SC kwa CAF
Kenya Police FC wameripoti Al Hilal SC kwa CAF, wakidai miamba hao wa Sudan waliwatumia wachezaji watatu wasiostahili wakati wa mchuano wao wa awali! Upande...
Cha Matasi Bado Kimotoni
Mahakama Kuu ya Kakamega imeipa FKF ruhusa kuendelea na mchakato wa kinidhamu dhidi ya kipa wa zamani Patrick Matasi, baada ya kutupilia mbali kesi aliyowasilisha...
Zoezi la uthibitishaji la Mfuko wa NYOTA nchini kote linaanza
Zoezi la kitaifa la uthibitishaji wa kipengele cha Usaidizi wa Biashara cha Mpango wa NYOTA limeanza rasmi katika maeneo bunge yote nchini Kenya. Zoezi hilo...
Jalang’o reminds Bahati of his gospel vow amid song backlash
Lang’ata Member of Parliament (MP) Phelix Odiwuor, popularly known as Jalang’o, has weighed in on Bahati’s, latest controversial song. The song, whose explicit video and bold...