Tulipe Marupurupu Ya Maisha Magumu, Walimu Wa Chonyi, Kilifi Walalama
Walimu katika Kaunti Ndogo ya Chonyi, Kaunti ya Kilifi wameomba Bunge la Kitaifa kuingilia kati na kuitaka Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) kuwalipa marupurupu ya...
MAAFISA WA KIJASUSI WAWAKATAI VIJANA WA KUNDI LA UHALIFU MOMBASA.
Kufuatia operesheni inayoongozwa na maafisa wa kijasusi katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Mombasa, wamefanikiwa kuwakamata watu watano wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la uhalifu...
WASANII WEKENI NJAA KWENYE MARKETING KAMA MNAVYOWEKA STUDIO HITS NYINGI ZIMEKOSA PROMO- SALLAM
Meneja wa Diamond Platnumz na WCB ambaye ni mzoefu kwenye tasnia ya Masoko na Biashara ya muziki amewashauru wasanii kuweka bidii zaidi kusukuma kazi zao...
Mchezaji wa Argentina Di Maria kujiuzulu kucheza kimataifa baada ya Copa America
Winga wa Argentina Ángel Di María amethibitisha Alhamisi kwamba maisha yake ya kimataifa yatafikia kikomo baada ya michuano ya Copa América 2024 nchini Marekani. Mshambulizi...
Rayvany Kaweka Album Ya Harmonize #VisitBongo Badala Ya Yakutoa Nyimbo Zake 5 Kama Alivyoahidi
Rayvany alikuwa ameahidi kutoa nyimbo zake 5 siku ya jana ila hakufanya hivyo. Alichokifanya ni kueka Instastory Album ya Harmonize #visitbongo badala yake kutoa nyimbo...
Paolo Maldini – Tulimtaka Messi, Tukajaribu Tupate Saini Yake Lakini Tukashindwa
Mkurugenzi wa zamani wa AC, Milan Paolo Maldini, amekiri kuwa waliwahi kuwa na nia ya kumsajili Lionel Messi msimu uliopita wa joto lakini baada ya...