HAKUNA MAPUMZIKO KWA WANACHELSEA, WATOKA SARE NA BURNLEY.
Huenda masaibu na majonzi ya wanachelsea yakaendelea baada sare ya 2-2 dhidi ya klabu ya Burnley. Wachezaji kumi Burnley walijizatiti kwa mtindo wa kuvutia na...
“Raundi Hii Siongei Na Mtu” Viongozi Wa ODM Wa Pwani Wamwidhinisha Joho Kuwa Rais 2027
Aliyekuwa Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho amesema hatamsikiliza yeyote anayemshauri kusitiza azma yake ya urais. Joho alisema kuna wanachama wenzake wa chama cha ODM...
Mchekeshaji wa Tanzania Aliyetamba Kenya Kwa Msemo Wa ‘Kata Simu Tupo Site’ Afariki Dunia
Msanii mkongwe wa vichekesho nchini Tanzania Umar Iahbedi Issa, almaarufu Mzee Mjegeje, ambaye anatambulika mitandaoni nchini Kenya kwa kauli mbiu yake ya 'Kata simu tupo...
Wagonjwa Wateseka Mombasa Huku Mgomo Wa Madaktari Ukiingia Siku Ya Pili
Madaktari katika kaunti ya Mombasa waliungana na madaktari wengine kote nchini katika mgomo baada ya serikali kukosa kutimiza matakwa yao. Akizungumza katika mkutano na waandishi...
Viongozi wa Kilifi Watishia Kuharamisha Miraa Kufuatia Hatua Ya Serikali Kupiga Marufuku ‘Mnazi’
Viongozi wa kaunti ya Kilifi wametishia kupiga marufuku Muguka, kufuatia marufuku ya hivi majuzi ya unywaji wa mvinyo unaojulikana kama ‘mnazi’ katika eneo hilo. Wakizungumza...
Zaidi Ya Wahudumu Wa Bodaboda 100 Eneo La Marungu Kufaidi Mafunzo Ya Udereva
Zaidi Ya Wahudumu Wa Bodaboda 100 eneo la Marungu, kauti ya TaitaTaveta, Kufaidi Baada Automobile Association of Kenya almaarufu AA kwa ufadhili wa shirika la...