Serem, Kibiwot na Koech wafuzu fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji
Amos Serem, Abraham Kibiwot na Simon Koech wamefuzu fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji kwenye Olimpiki ya Paris 2024 Jumatatu usiku. Serem nusura...
Noah Lyles ndiye bingwa mpya kwenye mita 100
Noah Lyles wa Marekani ndiye bingwa mpya kwenye mita 100 kwa wanaume katika Olimpiki ya Paris 2024 Jumapili usiku. Lyles alianza vizuri mbio hiyo lakini...
Mary Moraa anyakua medali ya shaba katika mbio za mita 800
Mary Moraa ambaye alikuwa Mkenya pekee katika fainali ya mita 800 kwa wanawake aliibuka wa tatu na kunyakua medali ya shaba katika Olimpiki ya Paris...
Jopokazi Lapendekeza Mabadiliko Kwa Taasisi Za Kidini Za Kenya
Serikali imedhamiria kutekeleza kanuni mpya kali kwa taasisi za kidini kufuatia mapendekezo ya jopokazi liloundwa baada ya mkasa wa Shakahola mwaka jana.Jopokazi hilo, likiongozwa na...
Raila ataka marekebisho ya katiba ili kushughulikia mzozo wa kitaifa uliopo
Kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ametaka katiba ipitiwe upya ili kukuza nchi inayoendelea baada ya mwezi mmoja wa maandamano mabaya yaliyoongozwa...
Wakenya 1,000 Wanasafirishwa Kufanya Kazi Nje ya Nchi Kila Wiki – Rais Ruto
Rais William Ruto mnamo Jumapili, Julai 28, alifichua kuwa nchi ilikuwa ikisafirisha raia 1,000 kila wiki kufanya kazi katika mataifa ya kigeni. Rais alifichua hayo...