Mwanamuziki nguli wa Kenya Ally B amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Share this story

Mwanamuziki Kutoka Pwani, Ally B Khamis anayefahamika kwa vibao vyake Maria & Bembea amefariki dunia katika hospitali ya Coast General. Ally B alikuwa mmoja wa mastaa wakubwa kutoka ukanda wa Pwani. Muziki wake Kadzo, Maria, na Bembea miongoni mwa wengine utahifadhi kumbukumbu za nguli huyo . Mwanamuziki huyo anayeishi Pwani aliaga dunia Jumatano, Novemba 1.…