ALIKIBA ATUPA JIWE “HII SIO MEDIA YA FAMILIA”
Msanii wa Bong flava Ali Saleh Kiba almarufu kama Ali kiba Baada ya uzinduzi wa Radio yake kwa jina #CrownFm akiwa jukwaani akiimba alisema kuwa...
HARMONIZE APIGA STOP SHOO SIERRA LEONE KISA MPENZI WAKE KAKOSA VISA.
Staa wa Bongofleva Harmonize amechukua uamuzi wa kusogeza mbele show yake aliyopaswa kuifanya siku ya Valentines Februari 14, 2024 huko nchini Sierra Leone. Harmonize ametaja...
Wimbo Mpya Wa Mr. Blue Mapoz Akimshirikisha Diamond Platnumz & Jay Melody
Mapozi ni wimbo wa Mr Blue ambao ulitoka miaka 16 iliyopita, chini ya kiwanda cha G.Records zilipozalishwa hit kibao. Wakali wa tatu, Mr. Blue, Diamond...
MWANAMUZIKI “ZAHARA” ALIYEIMBA LOLIWE AFARIKI DUNIA
Muimbaji maarufu wa Afrika kusini Bulelwa Mkutukana maarufu kama Zahara amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu maradhi ya Ini. Zahara ambaye amezaliwa November...
BONGO FLAVA: Director Nisher Afariki Dunia
PICHA | HISANI NISHER ENTERTAINMENT Baada ya kuthibitishwa kuwa Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza...
Harmonize Atupa Vijembe Kwa Diamond Platnumz. “Kama Wanakupenda Kweli Hawawezi iba Kofia”
Staa wa Bongo, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize mnamo Jumamosi jioni alionekana kutupa vijembe kwa aliyekuwa bosi wake katika WCB, Diamond Platnumz kuhusu wizi wa...