MENA: UKIKOSA PESA HUWEZI KUWA NA MIMI
Baby mama wa mchekeshaji/mchungaji mahili hapa nchini Mc Pilipili ameonyesha kukasilishwa vilivyo na wanaume wasiokuwa na pesa na kudai endapo mwanaume akafilisika mikononi mwake hawezi...
Mwigizaji Tesa wa Huba Afariki Dunia.
Bongo movies imepoteza moja ya waigizaji wa mfano aliyekuwa kioo cha jamii kimaadili kwa vitendo kuanzia uvaaji, mahusiano na watu. Grace Mapunda hakuwa mtu wa...
MSANII CMB PREZZO KAOKOKA KUJIUNGA NA GOSPEL MUSIQ
Rapa CMB Prezzo amechonga njia mpya ya kuacha muziki wa kilimwengu na kuanza kuimba mzingi wa injili. Rapa huyo mkongwe aliweka maisha yake hadharani kwa...
Mama wa Mwanamuziki Mheshimiwa Temba Afariki Dunia
Mama mzazi wa Msanii Mh. Temba amefariki dunia leo Oktoba 25, 2024 ambapo Msanii huyo amethibitisha kupitia ukurasa wake wa kijamii. Kupitia Ukurasa wake wa...
Idris Elba Afunguka Tena Nia Yake ya Kuja Kuishi Afrika
Mwigizaji nyota wa Filamu, Idris Elba amesema anatarajia kuhamia Afrika katika kipindi cha Miaka 10 ijayo na huenda akaishi katika maeneo ya Zanzibar, Accra nchini...
Rayvanny Amemjibu Baddest47 Kuhusu Kumuibia Ngoma Ya “SENSEMA”
Baada ya msanii Baddest47 kulalamika kuwa kaibiwa ngoma ya "SENSEMA"...Rayvanny kupitia Insta story amemjibu Baddest47 kwa kuandika haya.. To my home Boy baddest unajua vile...