Mchezaji wa Argentina Di Maria kujiuzulu kucheza kimataifa baada ya Copa America
Winga wa Argentina Ángel Di María amethibitisha Alhamisi kwamba maisha yake ya kimataifa yatafikia kikomo baada ya michuano ya Copa América 2024 nchini Marekani. Mshambulizi...
Paolo Maldini – Tulimtaka Messi, Tukajaribu Tupate Saini Yake Lakini Tukashindwa
Mkurugenzi wa zamani wa AC, Milan Paolo Maldini, amekiri kuwa waliwahi kuwa na nia ya kumsajili Lionel Messi msimu uliopita wa joto lakini baada ya...

Argentina walipoteza mchezo wao jana dhidi ya Uruguay kwa magoli 2-0.
Argentina walipoteza mchezo wao jana dhidi ya Uruguay kwa magoli 2-0. Hii ndo mechi waliyopoteza tangu walipofungwa na Saudi Arabia kwenye mechi ya kwanza kwenye...
Simba Queens Yapata saini ya winga Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir kwa mkataba wa miaka miwili.
Timu ya Simba Queens imefanikiwa kupata saini ya winga Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir kwa mkataba wa miaka miwili. Diakiese raia wa DRC...
Mamelodi wabeba Ubingwa African Football League
Klabu ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns, imetwaa ubingwa wa kombe la Afrika ‘AFL’ kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya klabu ya Wydad Casablanca...