NINI KINAENDELEA KWENYE NDOA YA ALI KAMWE?
Taarifa za wazi zinadai kuwa Afisa habari wa klabu ya yanga Ali kamwe ameachana na mke wake baada tu ya kufunga ndoa siku chache tu zilizopita ndoa ya Wawili hawa imedumu kwa muda wa wiki 3
Daah ila ndoa za siku hizi kumbe ndiyo maana semaji hata siku ya Yanga Day hatukumuona mambo yalikuwa sio mambo tena

