ZAIDI YA WATU 300 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA TRENI
Zaidi ya watu 300 wamepoteza maisha na wengine 850 kupata majeraha katika ajali ya treni iliyotokea katika Jimbo la #Odisha nchini India.
Chanzo cha ajali kimetajwa kuwa ni Treni moja ya Abiria kuacha njia na kwenda kuigonga nyingine