Tanzania imekosa medali kwa wawakilishi wote.
Alphonse Simbu amemaliza nafasi ya 17 kwenye mbio za Olympic Paris Ufaransa, Msimu uliopita alimaliza wa 7, Tanzania imekosa medali kwa wawakilishi wote.