Kocha wa Klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti aingia uwanjani na kumtoa fowadi wake Vinicius Jr

Share this story

Kocha wa Klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti alingia uwanjani na kumtoa fowadi wake Vinicius Jr ili asipoteze muda.

Mara nyingi wachezaji huwa na tabia ya kuchelewasha muda wanapofanyiwa mabadiliko.

Madrid walishinda mabao 2 -1 dhidi ya Barcelona leo.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Kocha wa Klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti aingia uwanjani na kumtoa fowadi wake Vinicius Jr
Next post Ruto Clarifies On School Fees Increase As KCPE Kickoff