DIAMOND AMPA GARI MPYA LA KIFAHARI MFANYIKAZI WAKE
Boss wa WasafiMedia DiamondPlatnumz amemzawadia gari ya kifahari Mfanyakazi wake MchagaOG kwaajili ya matumizi yake binafsi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram MchagaOG amemshukuru Boss wake kwa kumpa zawadi hio.