Goli la Eze linawahakikishia Crystal Palance pointi ugenini dhidi ya Chelsea
Chelsea ilipoteza uongozi na kupata sare ya 1 – 1 dhidi ya Crystal Palace uwanjani Stamford Bridge Jumapili. Nicolas Jackson aliwatanguliza Chelsea dakika ya 25...
Liverpool Yaicharaza United Tatu Bila Nyumbani
Liverpool imedumisha ushindi wa mechi tatu mfululizo kwenye Ligi ya EPL baada ya kuitinga Manchester United 3 – 0 uwanjani Old Trafford Jumapili. Luis Diaz...
Maafisa wa ODM wa Magarini waidhinisha Harrison Kombe kwa uchaguzi mdogo
Maafisa wa Orange Democratic Movement (ODM) wa Jimbo la Magarini wameidhinisha aliyekuwa Mbunge (Mbunge) Harrison Kombe kuteuliwa moja kwa moja kushiriki uchaguzi mdogo ujao, wakitaka...
HANA MWANGA TENA! MWANGAZA WA GAVANA MWANGAZA WAZIMIA
Hatimaye kitumbua cha gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza kimeingia mchanga baada ya bunge la seneta kuhidhinisha madai ya kaunti ya kumtimua ofisini. Haya...
Israel yajibu mashambulizi bandari ya Yemen baada ya waasi wa Houthi kushambulia Tel Aviv
Baada ya waasi wa Houthis kushambulia ndani ya Israel kwa makombora, Israel ilijibu uchokozi huo kwa shambulio moja kubwa na baya lililoangamiza kabisa bandari hiyo...
Israel yashambulia bandari ya Yemen baada ya waasi wa Houthi kushambulia Tel Aviv
Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kwamba shambulio la Israel katika bandari muhimu ya Hodeida nchini Yemen litapelekea hali mbaya ya...