Real Madrid Yapinga Vikali Mchezo wa LaLiga Kuchezwa Nje ya Hispania.
Klabu ya Real Madrid CF imetoa tamko rasmi likieleza kupinga vikali pendekezo la kuchezwa kwa mchezo wa raundi ya 17 ya Ligi Kuu ya Hispania...
ISAK ATANGAZA KUHITIMISHA SAFARI YAKE NEWCASTLE
Alexander Isak amethibitisha kuwa hatavaa tena jezi ya Newcastle United. Hata kama dirisha la usajili litafungwa bila yeye kuondoka, nyota huyo wa Sweden anaona muda...
MZIZE ANUKIA ESPERANCE
Mzize anaweza kuelekea Tunisia karibuni, hii ni baada ya Esperance de Tunis kutuma ofa mpya ya Tsh 2.4B ($1M) baada ya pendekezo la awali kukataliwa....
RASMI: Endrick atavaa jezi namba katika kikosi cha Real Madrid!
Endrick anayechukuliwa kama miongoni mwa vipaji bora vinavyokuja duniani, sasa atabeba jukumu kubwa la kuendeleza rekodi ya magwiji waliowahi kuvaa namba hii kwenye Los Blancos....
From the spot to the spotlight! Allan Okello named Man of the Match!
Chuma kinaitwa Allan Okello (25) kiufupi anajua sana mpira, sifa zake ni winga wa kulia asilia ambae anatumia zaidi mguu wa kushoto kuingia ndani. Ni...
Mwana FA na AY washinda rufaa fidia dhidi ya Tigo
Mahakama ya Rufaa Tanzania imewapa ushindi wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) na Ambwene Yesaya (AY), katika rufaa ya muda mrefu...