Rais Emmerson Mnangagwa Wa Zimbabwe Ametangazwa Mshindi Uchaguzi Wa Rais Wa Agosti 23
Mnangagwa ameshinda kwa kura asilimia 52.6 dhidi ya mpinzani wake Nelson Chamisa aliyepata asilimia 44. Matokeo hayo ya Uchaguzi mkuu nchini humo yametangazwa usiku wa...
Kibet Aldrine Kipchirchir wa St Anthony Boy’s Kitale kujiunga na Nastic Sports Academy huko Barcelona, Uhispania.
Amos Emmanuel Wanjala (beki wa kati) na Kibet Aldrine Kipchirchir wanaelekea Nastic Soccer Academy (NAS) mjini Tarragona, Uhispania. Alvin Kirigano Kasavuli (katikati ya 8/10) anajiunga...
PICHA: Karim Mandonga yamemkuta tena.. Apigwa TKO raundi ya Tatu na Moses Golola kutoka Uganda.
PICHA HISANI YA AZAM PICHA HISANI YA AZAM
ROMA NAYE AMKATAA NAY WA MITEGO.
Baada ya Nay wa Mitego kudai kwamba wimbo wake mpya wa "Amkeni" ambao umezua gumzo baada ya kuleta utata kwamba aliyemtumia wimbo huo ni Roma...
Raisi Ruto aagiza Shirika la Huduma ya Wanyamapori nchini (KWS) kutenga asilimia 40 ya nafasi wakati wa kuajiri walinzi kwa jamii zinazohifadhi mbuga za kitaifa
Rais William Ruto ameagiza Shirika la Huduma ya Wanyamapori nchini (KWS) kutenga asilimia 40 ya nafasi wakati wa kuajiri walinzi kwa jamii zinazohifadhi mbuga za...