𝐓𝐚𝐳𝐚𝐦𝐚 𝐣𝐢𝐧𝐬𝐢 𝐌𝐬𝐚𝐧𝐢 𝐑𝐢𝐜𝐤 𝐑𝐨𝐬𝐬 𝐚𝐥𝐢𝐯𝐲𝐨𝐚𝐦𝐤𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐚
https://youtu.be/2Bng2m-d9kY
Marekani italinda Taiwain dhidi ya uvamizi wa China : Joe Biden
Rais Joe Biden wa Marekani amesema taifa lake litalinda Tawaian kijeshi kama China itavamia kisiwa hicho chenye kujitawala chenyewe. Joe Biden ameonya China kuwa inachezea...
Kylian Mbappe Ahakikishia Mashabiki Atasalia PSG.
Mchezaji wa PSG Kylian Mbappe amehakikishia mashabiki wake hasa wa klabu ya PSG kwamba atabakia kwa timu hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23...
Mashua ya Injini yafikia kikundi cha Imbaria, Ziwa Chala
Mheshimiwa Fundi Saleri ambaye pia ni mwakilishi wa kauti ndogo ya Bomeni, TaitaTaveta Leo amekutana na viongozi wa kikundi cha usimamizi wa ufuo cha Imbaria...
Nassir amchagua Mwanahabari Francis Thoya kama mgombea mwenza
Mgombea wa ugavana Mombasa kwatikiti ya ODM Abdulswamad Nassir amemtambulisha aliyekuwa mwanahabari wa Nation Francis Thoya kuwa mgombea mwenza katika kinyang'anyiro cha ugavana Thoya alihudumu...
Kalonzo Apeleka Kampeni Za Wiper Eneo La Taveta, Amshika Mkono Wakili Bwire
Mh. Kalonzo Musyoka na kikosi cha Wiper party, hapo jana kilipeleka kampeni za wiper mjini Taveta. Chama cha Wiper kinawania kushinda viti vya siasa eneo...