Spika wa Baraza La Wawakilishi La Marekani Atimuliwa
Kevin McCarthy ametimuliwa kama spika wa Baraza la Wawakilishi katika uasi wa kikatili na wa kihistoria wa Warepublican wa siasa kali za mrengo wa kulia...
Roma Mkatoliki Asherekea Miaka Nane Ya Ndoa Na Mke Wake Nancy
Msanii wa Hip Hop Bongo, Roma na mke wake Nancy wametimiza miaka nane ya ndoa yao. Utakumbuka Roma na Nancy walifunga ndoa mwaka 2016 na...
JUMA NATURE : “Ugali” zilifanya vizuri sokoni ila sikunufaika kama ilivyotakiwa.
Msanii wa Bongofleva, Juma Nature amesema albamu zake nyingi hasa ile ya "Ugali" zilifanya vizuri sokoni ila hajanufaika kama ilivyotakiwa. Amesema kama si hivyo kwa...
ZIPAPA TENA: Chirau Ali Mwakwere Achaguliwa kuwa Msemaji wa Jamii ya Digo
Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Chirau Ali Mwakwere sasa ndiye msemaji wa Jamii ya Digo. Mwakwere alichaguliwa katika wadhifa huo na jamii...
Askofu Jackson Ole Sapit aikosoa serikali kwa kupanda kwa gharama ya maisha.
Askofu mkuu Jackson Ole Sapit ameitaka serikali kuweka mikakati upya ya utekelezaji wa ahadi walizozitoa katika kipindi cha kampeni huku akisema kuwa ni wakati sasa...
“WWE” Kuandaa Pambano Kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya John Cena
Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo...