Familia Yaomba Muziki Wa Ali B Kuacha Kuchezwa Baada Ya Kifo Chake.
Baada ya familia kutoa ilani kwa vyombo vya habari,madjs na yeyote yule kucheza ngoma za mwendazake Ally B ambaye aliweza kustiriwa jana 2 Novemba,hisia mseto zinazidi kuibuka kutoka kwa mashabiki. Kakake Ally B alitoa ombi la unyenyekevu kwa niaba ya familia kwa vituo vya redio na watumbuizaji kuacha kucheza nyimbo zake kufuatia kifo chake. “Tunaomba…

Baada ya familia kutoa ilani kwa vyombo vya habari,madjs na yeyote yule kucheza ngoma za mwendazake Ally B ambaye aliweza kustiriwa jana 2 Novemba,hisia mseto...
Familia Yaomba Muziki Wa Ali B Kuacha Kuchezwa Baada Ya Kifo Chake.
Baada ya familia kutoa ilani kwa vyombo vya habari,madjs na yeyote yule kucheza ngoma za mwendazake Ally B ambaye aliweza kustiriwa jana 2 Novemba,hisia mseto zinazidi kuibuka kutoka kwa mashabiki. Kakake Ally B alitoa ombi la unyenyekevu kwa niaba ya familia kwa vituo vya redio na watumbuizaji kuacha kucheza nyimbo zake kufuatia kifo chake. “Tunaomba…
Familia Yaomba Muziki Wa Ali B Kuacha Kuchezwa Baada Ya Kifo Chake.
Baada ya familia kutoa ilani kwa vyombo vya habari,madjs na yeyote yule kucheza ngoma za mwendazake Ally B ambaye aliweza kustiriwa jana 2 Novemba,hisia mseto zinazidi kuibuka kutoka kwa mashabiki. Kakake Ally B alitoa ombi la unyenyekevu kwa niaba ya familia kwa vituo vya redio na watumbuizaji kuacha kucheza nyimbo zake kufuatia kifo chake. “Tunaomba…
HAALAND ASHINDA TUZO LA MSHAMBULIAJI BORA DUNIANI
Erling Haaland ashinda Tuzo ya Müller kama Mshambuliaji Bora wa mwaka 2023 kwenye Ballon d’Or Gala! Robert Lewandowski yuko Nafasi ya 5 na Messi katika...
Mwanamuziki nguli wa Kenya Ally B amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mwanamuziki Kutoka Pwani, Ally B Khamis anayefahamika kwa vibao vyake Maria & Bembea amefariki dunia katika hospitali ya Coast General. Ally B alikuwa mmoja wa...