Jada Pinkett Smith Asema Yeye na Will Smith Walitengana Tangu 2016
Muigizaji na mtangazaji Jada Pinkett Smith amefichua kuwa yeye na mumewe Will Smith wamekuwa wakiishi "maisha tofauti kabisa" tangu 2016. Jada ameweka wazi kuwa ingawa...
Trust Bank yatoa pedi za hedhi zinazoweza kutumika tena kwa wasichana wa shule ya Kilifi
Zaidi ya wasichana 1,100 wa shule katika Kaunti ya Kilifi watafaidika na bidhaa bora za afya ya hedhi zinazotolewa na Benki ya Diamond Trust. Mchango...
Gavana Nassir ataka Mombasa Kusimama Nyuma ya Raila Kabla Ya Uchaguzi 2027
Gavana Abdulswamad Sherrif Nassir Jumatatu aliwaongoza viongozi wa Mombasa na wanachama wa ODM kutangaza kumuunga mkono Raila Odinga kama mgombea urais kwa Uchaguzi Mkuu wa...
PICHA : Gavana Nassir, Pamoja na Gavana Mwadime, Wakutana na Wajumbe Kutoka Taita/Taveta Wanaoishi Mombasa
Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, Pamoja na Gavana wa Taita Taveta, H. E Andrew Mwadime, Wakutana na Wajumbe Kutoka Jamii ya Taita/Taveta Wanaoishi Mombasa
Janet Mwawasi Oben Achaguliwa Kuwa Balozi Wa Kigali, Rwanda
Raisi William Ruto amchagua, Janet Mwawasi Oben, kuwa balozi wa kijali Rwanda katika mabadiliko ya serikali yalifanyika. Wateule hao watahojiwa Bungeni, na baada ya kuidhinishwana,...
Mbunge Wa Nyali,Mohammed Ali, aongoza Maandamano Dhidi Ya Uamuzi Wa Mahakama Kuu Kuhusu Ushoga
Mbunge wa Nyali Mohammed Ali almaarufu Jicho Pevu aongoza maandamano aandamano jijini Nairobi na Mombasa kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vyama...